Monday, 24 November 2014

FAIDA ZA KUSUBIRI

Ipo siri kubwa ktk kusubiri hadi Bwana atakapokufungulia madilisha ya hitaji lako. Mimi nimejifunza kusubiri na nimeona matokeo yake kwa sehemu kubwa.
 FAIDA ZA KUSUBIRI
 1: Kunakupa jibu sahihi ambalo si shotcut.... Jaman hata iman ndani yake kuna taraji tena ya kitu kiaichoonekana. JEHOVAH JIREH ,The lord will provide to you. Ukiomba kuwa na subira usitake kupokea muda huohuo. Kt ya silaha za mkristo ni IMANI(Efeso 6:16) kwan biblia inaaema ndio ngao yetu.
 2:KUURITHI UFALME WA MUNGU .. .. Luka 21:19 "nanyi kwa subira yenu mtaiponya nafsi zenu" KTK ulimwengu huu pasipo subira,lazma uanguke dhambini maana utalazmisha kupata kitu pasna mpango wa MUNGU. 
 3:UTAKWENDA SAWA NA KUSIDI LA MUNGU.... Ndugu Mungu ana saa na majira yake ya kukupatia jibu lako na hii inakusudi na amekuangalia wewe yamkini akikupa utashindwa kumtumikia. 
Yamkin ni kijana unata kuoa lakini kila ukitafuta mke kabla ya ndoa anskukataa ujue kuna kusudi,subiri yupo wa kwako...mhubiri 3:1

 USHUHUDA
 Kuna mama mmoja alikuwa mwalimu wa shule ya msingi.Awali mama huyu alikuwa mkristo wa mazoea. Lakini baada ya kuokoka Mungu akampa karama ya imani 1kornt 12:9 . Hapo ndipo Mungu aliporuhusu majaribu kwa mama huyu. Kwanza alianza kuumwa mguu kwa muda mrefu akipima tatzo halionekani. Ndugu wakamshauri amwache bwana aende kwa waganga wa kienyeji kama AYUBU. Akasema ikiwa MUNGU ameyaruhusu yanipate yatanitoka haya. Mungu akamponya baada ya mwaka. Jaribu hilo lilipomwacha, mama huyu akapata taarifa ya kuzimia zimia mwanae aliyekuwa anasoma kidato cha 5 IFUNDA. Alimwomba Mungu akajibu na sasa anaamani ya kidumu na kuutegemea uzima wa milele kwani mambo yote ni sawasawa
. MWISHO TUTAVUNA SANA ROHONI NA MWILINI TUSIPO ZIMIA ROHO

 PRINTED & ISSUED BY KABELEGE JR

SHUHUDA YA KUSISIMUA-UHUNI HADI UHUBIRI

SHALOOM
Mpendwa msomaji leo nakuletea shuhuda ya PASTOR CASEN from ZAMBIA.
ALIYEHUBIRI katika mkesha wa  DODOMA NIGHT CAMPAS-INUKENI ENYI MALANGO...........

(PASTOR CASEN aliyeshika kidevu)
Katika maisha yake amefanya kila baya ambalo ni chukizo kwa MUNGU,, alipokuwa kijana mdogo wa miaka 10's alianza kunywa POMBE huku akiichanganya na SUKARI kwenye kikombe. Siku zilivyozidi sogea akaanza tumia kiliba kizima yaan lita moja ya CHIBUKU na kuendelea. hatimaye akawa mlevi wa kutupa.
Kwa kuwa alikosa upendo wa wazazi wake walipotengana akiwa mdogo sana alianza kutafuta watu mbadala wa kuchukua nafasi ya upendo wa wazazi wake na si mwingine ila girl friend. Awal aliamini mahusiano hayo yatakuwa ya barua tu, baadae wakaendelea kutembea mita moja bila hata kugusana kwa kuwa alichohitaji ni kutiwa moyo tu.. kwa kuwa kawaida huzaa desturi mara wakaanza kushkana mikono, mara kula pamoja mwishowe wakadondoka dhambini.

Baada ya mahusiano hayo yaliyotawaliwa na dhambi kuvunjika akaanza kutafuta mabinti tofauti kukidhi haja za moyo wake kwani ufahamu na akili yake ilikamatwa na pepo la UZINZI. Mtaani alijulikana kwa kuwa na kila msichana kimahusiano.

Kama ilivyo desturi kwa mtu achovyaye kumaliza buyu la asali baba huyu alianza kuvuta SIGARA kama SM, punde si punde akaanza tumia BANGE.

Akiwa na mahusiano na mke aliyemuoa alishawa kushirikiana na mkewe kutoa MIMBA nne za mkewe kabla ya kuoana

Tisa kumi, alipoanza kwenda disco alikuwa mtazamaji tu, lakini ghafla akaanza kutikisa mguu akienda disco, ghafla akaanza kuingia kwenye mashndano ya wacheza disco huko ZAMBIA.

SIKU MOJA AKIWA UKUMBI WA STAREHE akizungukwa na kila aina ya uasi AKASIKIA SAUTI YA MUNGU AKISEMA "UKIENDELEA HIVI UTAKUFA, SASA NIFUATE UITANGAZE INJILI" Kwa sasa pastor huyu ni mtumishi mkubwa wa MUNGU wa ndani na nje ya nchi. Hata mm blogger nimemuona akihubiri katika DODOMA CAMPAS NIGHT IV.

sikiliza msomaji wa makala hii, ukianza kumruhusu ibilisi katika uchache jua pia atajitukuza kwako katika wingi....biblia inasema usimpe ibilisi nafasi kabisa kwa kuwa akiingia kwako anaua, anaiba na kunyonga.
 JAMANI SISI TU MVUKE MUDA WOWOTE UNAYEYUKA TUTUBU......YAKOBO 4:13-14



Sunday, 23 November 2014

DODOMA CAMPASS NIGHT chapter 4 2014 AT CHIMWAGA

HALLELUYAH
Napenda kukukaribisha rasmi kwenye blog hii mpya itakayo kuletea matukio yote ya kiroho yanayoendelea DODOMA,
KINGDOM BRINGERS
Pia tunakaribisha wewe mwenye ujumbe wa neno la MUNGU kuuleta ili injili ihubiliwe kwa njia ya mtandao.

zaburi 20:7 

SEHEMU A YA
MATUKIO YA CAMPAS NIGHT CHAPTER 4

 

UKUMBI  B4 ZE EVENT
 

MASS CHOIR SINGERS (stanley bayo,shadrac projes wakienda back stage kuwear
wadau 3 wa nguvu wa blog da jane,linah na diana kutoka COED UDOM nje ya ukumbi
  
mgeni rasmi na kamati ya tukio ikiwa meza kuu 
DR REHEMA NCHIMBI,PASTOR DR OLE
KING CHAVALA MC ON THE STAGE KWA KUIANZA KAZI






K
MEZA KUU IKASMAMA KUWAPOKEA MASS CHOIR


 SHEDRAK PROJES AND DA RETISIA
 ON THE STAGE WITH MASS CHOIR
WAKIIMBA DODOMA SONG

 TABITHA AKIIBA THEME SONG -INUKENI ENYI MALANGO



MC KING CHAVALA NA BLOGGER KABELEGE


BLOGGER AKIJIPUMZISHA KUMSIKILIZA   MGENI RASMI